Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali
Location ubungo kibangu juu km1 usafiri upo bajaji na boda
Kodi 290000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Room 2 za kulala
Sitting room
Kitchen with cabinet
Public toilet hakuna master bedroom
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
CCTV Camera
Paving block
Parking space
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















