Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Ubungo Makoka.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Full A/C
- Water reserve tank
- Paving
- Parking
- Fence
Kodi 500,000/= miezi mitatu na kuendelea.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.