Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


#CLASSIC #APARTMENT INAPANGISWA
📍Ubungo Extenal pia unaweza pita makuli dakika chache kwa kutembea
#SIFAZAKE
🔹Vyumba 2 vya kimoja master
🔹Sebule
🔹Jiko linafungwa Makabati
🔹Choo cha ndani
🔹Umeme LUKU yake, Maji ni ya dawasa
🔹Fence, Parking & Paving blocks
✍️Mafundi wapo kazini kuona na kufanya malipo luksa kabisa
🔸Kodi Tsh 400,000/=x6(Miezi Sita)
🔸Malipo ya Dalali Tsh 400,000/=
🔸Service Charge Tsh 15,000/=
#Piga_simu👇
#0627977383.&Whatsapp
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊