Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA UNAKATA UTEPE MWENYEWE
✔️SEBULE KUBWA
✔️VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
✔️CHUMBA KIMOJA MASTER
✔️JIKO KUBWA LENYE KABATI
✔️PUBLIC TOILET NZURI 🚻
✔️TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
✔️PAVING BLOCKS ZINAWEKWA
✔️FENCED
✔️LUKU Na METER YA MAJI VINAJITEGEMEA
✔️MAJI DAWASA NDANI 24HRS
✔️RESERVE TANK
✔️PARKING SPACE AVAILABLE 🚗
✔️GOOD ENVIRONMENT 👍
LOCATION: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA
KM 2.5 NJIA NI ZEGE MPAKA KWENYE NYUMBA UKANYAGI TOPE BAJAJI /500 DALADALA / 500 UKISHUKA DK 2 UPO GETINI
KODI 450,000 × 6
KUONA NYUMBA GHARAMA ZAKE SH.15000
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp