Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Ukonga, Dar Es Salaam
:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: UKONGA STAKI SHARI
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika 5 Kutoka Main Road na Barabara ni Nzuri
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
==========
โข Sebule Kubwa
โข Vyumba VIWILI vya Kulala na Kimoja Wapo Master Bedroom
โข Jiko Kubwa la Kisasa
โข Public Toilet
โข Reserve Tank (Dawasa)
โข Heater
โข AC
Apartment Zipo 3 Kwenye Fensi Parking Ipo na Kila Apartment IInajitegemea Umeme LUKU na Maji Dawasa Yanaflow Ndani
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ TSh. 400,000/- Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni TSh. 10,000/- na Ukilipia Nyumba Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja
#๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐_๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp & Call
0754 221168 WhatsApp & Call