Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam
27th November 2024-----------------------Apartment mpya
Tegeta wazo bwawani
Room 2/master 1
Kitchen
Sitting
Public toilet
Maji na umeme vinajitegemea
Kodi lk 700,000 kwa mwezi
Malipo miezi 6
Malipo ya dalali mwezi mmoja
Nyumba ya pili kutoka main road
Kwa muhitaji piga simu
0758 572 334
0716 407755