Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Chanika, Dar Es Salaam
NYUMBA YENYE VYUMBA VIWILI (2) TSHS.10 MILIONI TU , CHANIKA ZINGIZIWA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.350.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hiki ni Kijumba kizuri ndani ya Fensi.
Chenye Vyumba 2 tu (Kimoja ni Masta)
Na Choo cha nje.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Mtaa mzuri, Gari hadi Mlangini.
BEI NDIO KITONGA, YAANI MILIONI 10 TU.
UNAONGEZA MILIONI 1 YA DALALI UNAHAMIA KWAKO.
___________
ANGALIZO:
Malioovya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.