Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Chanika, Dar Es Salaam





NYUMBA I N A U Z W A TZS 19 MILIONI
LOCATION CHANIKA ZINGIZIWA JIMBO LA UKONGA WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM TZ
✓ VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER
✓ SEBULE
✓ DINING
✓ JIKO
✓ PUBLIC TOILET
UKUBWA WA ENEO SQM 300
DOCUMENT MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA
BEI TZS 19 MILIONI
NIPIGIE 0784156583 / 0656011897/ 0627885467
WHATSAPP
0696662405
KUPELEKWA KUONYESHWA 30 OOO