Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


🏘️ Umewahi kufikiria kumiliki mradi wa apartment 14 Kigamboni?
⚠️ Hii fursa haitaki kusimuliwa – inataka hatua ya haraka!
📏 Eneo la sqm 4,327 limepimwa na lina hati miliki mkononi!
📍 Lipo mita 100 tu kutoka barabara kuu ya Kibada–Mikwambe, Kigamboni – eneo linalokua kwa kasi ajabu!
🔨 Mradi tayari umeanza:
• 🛏️ Kila apartment ina vyumba 2 vya kulala
• 🛋️ Sebule yenye nafasi nzuri
• 🍽️ Jiko na dining room
• ✅ Apartment moja imeshaezekwa
💼 Uwekezaji wa uhakika kwa faida ya muda mrefu!
💰 Bei: TZS 480,000,000
☎️0686 705 903