Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
TSHS MIL 35, NYUMBA INAUZWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-KIGAMBONI MWEMBEMDOGO
MITA 200 TOKA BARABARA KUU YA LAMI
UKUBWA WA KIWANJA CHAKE SQM 600
NYARAKA ZA UMILIKI INA SALES AGREEMENT
NYUMBA IMEJENGWA KISASA
YA KIFAMILIA
YENYE;
Vyumba viwili vya kulala kimojawapo ni Master, Sebule, Jiko & Public Toilet
Umeme x Maji vyote vipo
IKO NDANI YA FENCE IMEBAKISHA FINISHING KWA UJUMLA KAMA MNAVYOIONA
ASSET NZURI KWA AFYA YA FAMILIA HAPO BAADAE! 🤔
BEI INAUZWA TSHS MIL 35 TOOP! HAINA MAONGEZI
KWA MAWASILIANO PIGA;
📞 +255 718 936 416
+255 768 914 118