Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI
<> location kibugumo
<> nyumba Ina jumla ya vyumba viwili vya kulala kimoja master sebule na jiko pamoja na public toilet
<> nyumba Ina mazingira mazuri
<> nyumba ipo mita (800) kutoka barabara kuu
<> nyumba ipo kilometer (10) kutoka ferry
<> nyumba ipo kwenye finishing za mwisho
<> kama fence
<> vitu vidogo vidogo ya ndani ya nyumba
<> nyumba Ina faa kwa makazi binafsi
<> nyumba pia unaweza ukapangasha
UKUBWA WA ENEO
✅ SQM (300)
<> nyumba hii inauzwa kwa bei (ML 45)
Lakini Pia mazunguzo yapo matajiri zangu
🔳Mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837