Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


๐ฏ๏ธKIMARA STOP OVER
๐ 300,000/= *6
_________
___
๐ Umbali wa dakika 12 tu Kwa Kutembea na Barabara ya Zege had kwenye nyumba
โข Vyumba 2 vya kulala (Haina Master)
โข Sebule
โข Jiko
โข Public toilet ndani
* Inajitegemea UMEME na Maji
* Parking
* Ndani ya Fensi
* Paving Blocks
โข Mazingira TULIVU Na Mazuri
#Upande wa kulia kama unaenda Mbezi
______
๐ *MUHIMU SANA*
#Kupelekwa kuona nyumba Tsh 15,000
#Malipo ya Dalali ni Tsh 300,000/=
______
0753-172-516