Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa Ipo kinyerezi kwa makofia
(NYUMBA INA HATI MILIKI)
๐BEI MILION 50 MAONGEZI YAPO
Ipo karb sana na barabara
Jumla ya Vyumba vyote ni 6 kimoja masta
Dining siting jiko
(Nje kuna vyumba viwili)
๐Eneo sqm 500
Whatsap au piga 0788156493 0614130017 0760053111