Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kisarawe Ii, Dar Es Salaam

 media -1
media -1

KIWANJA SQM 1,800,TSHS.45 MILIONI, KISARAWE-II, KIBADA/KIGAMBONI.

Ni Kiwanja cha Tatu kutoka Barabara Pana ya kuelekea Shule ya Mfano ya LINGATO.
Unachepukia Ilipokuwepo 'KWA MR. KUKU'
mbele kidogo ya KISARAWE-II MADUKANI.
Kilomita 2 kuingia ndani.

Hiki Kiwanja HAKIJARASMISHWA..
Eneo ni la Makazi na Majirani wamejenga wengi tu.

Ndani ya Kiwanja kuna Banda la vyumba viwili (2) lililoishia ujenzi wake kwenye hatua ya Linta.

Hapa panafaa kuweka Makazi yako tulivu.
Ama ukipenda kuendesha Shughuli za Kibiashara na Makazi kama Apartments, Lodge, Zahanati nk.

Ni hatua chache kutoka ilipo shule ya Sekondari ya LINGATO na pamesheheni MIRADI ya VIWANDA na UZALISHAJI hivyo mahitaji ya huduma za Kijamii ni wazi yatakuwa makubwa siku hadi siku.

Umeme upo jirani sana.
Barabara ipo.
Watu WAZITO na MAARUFU kadhaa kadhaa wapo maeneo haya na baadhi yao Miradi yao inajengwa kwa kasi.

Sasa wewe chelewa ujute baadae.

_____________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

+255714591548

_____________HByn

Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

General BROKER (*DALALI*)
dalalitzee
General BROKER (*DALALI*)

Similar items by location

Kiwanja kinauzwa Kisarawe Ii, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

RESIDENTIAL SURVEYED PLOTS FOR SALE 📍Site located at KISARAWE II (kibada ) KIGAMBONI DSM📌Distanc...

Kiwanja kinauzwa Kisarawe Ii, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

For Sale: 4 ACRES' PLOT FOR INDUSTRIAL USES, TSHS. 1.8 BILLION AT KISARAWE II, KIGAMBONI.This Prime...

Viwanja vinauzwa Kisarawe Ii, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 50,000

VIWANJA VIWILI, UKUBWAJUMLA SQM.1200, TSHS.30 MILIONI, KISARAWE II,-LINGATO/KIGAMBONI. VYOTE VIWILI ...

Viwanja vinauzwa Kisarawe Ii, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 50,000

VIWANJA VIWILI, UKUBWAJUMLA SQM.1200, TSHS.30 MILIONI, KISARAWE II,-LINGATO/KIGAMBONI. VYOTE VIWILI ...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kisarawe Ii, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

KIWANJA SQM 1,800,TSHS.45 MILIONI, KISARAWE-II, KIBADA/KIGAMBONI. Ni Kiwanja cha Tatu kutoka Barabar...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kisarawe Ii, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

KIWANJA SQM 1,800,TSHS.45 MILIONI, KISARAWE-II, KIBADA/KIGAMBONI. Ni Kiwanja cha Tatu kutoka Barabar...

Viwanja vinauzwa Kisarawe Ii, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 28,000

Viwanja vya makazi KISARAWE II kigamboni. Vikiwa vimebaki vichache kwenye mradi huu pendwa, jipatie...

Viwanja vinauzwa Kisarawe Ii, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 30,000

MRADI MPYA WA VIWANJA UPO KISARAWE II-KIGAMBONI.SIFA ZA MRADI HUU♦️Mradi huu upo kisarawe 2 -Kigambo...

Kiwanja kinauzwa Kisarawe Ii, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

-HUU MRADI WA KIWANJA UNAPATIKANA KISARAWE II KARIBU NA KWA MR KUKJ##Plot size: SQM 804,SQM806SQM ,8...

Kiwanja kinauzwa Kisarawe Ii, Dar Es Salaam

Sh. 95,000,000

House For SALE Bei👉 95M(Inazungumzika)SQm 800 Location 👉KISARAWE II 0743986654

Viwanja vinauzwa Kisarawe Ii, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 18,000 per sqm

Wasiliana Nasi 0765260665KARIBUNI SANA katika Mradi wa Viwanja Tunavyoviuza KISARAWE II .Sifa za Mra...

Sh. 35,000

🔥🔥 KISARAWE II🔥🔥VIWANJA VYOTE VIMEPIMWA NA VINA HATIMITA 600 TOKA BARABARA KUU MALIPO MIEZI 6SQM...

Viwanja vinauzwa Kisarawe Ii, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 18,000 per sqm

Wasiliana Nasi 0765260665KARIBUNI SANA katika Mradi wa Viwanja Tunavyoviuza KISARAWE II .Sifa za Mra...

Kiwanja kinauzwa Kisarawe Ii, Dar Es Salaam

Sh. 25,000

RESIDENTIAL SURVEYED PLOT FOR SALE 📍Site located at KISARAWE II (kibada ) KIGAMBONI DSM📌Distance...

Sh. 22,000

RESIDENTIAL SURVEYED PLOT FOR SALE 📍Site located at KISARAWE II (kibada ) KIGAMBONI DSM📌Distance...

Viwanja vinauzwa Kisarawe Ii, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 25,000

•NEW PROJECT DETAILS: KISARAWE II-GEZAULOLE. -Mradi upo Mita 500 tu kutoka barabara kuu. -BEI: Cash:...

Viwanja vinauzwa Kisarawe Ii, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 220,000

RESIDENTIAL SURVEYED PLOTS FOR SALE 📍Site located at KISARAWE II (kibada ) KIGAMBONI DSM📌Distanc...

Viwanja vinauzwa Kisarawe Ii, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 220,000

RESIDENTIAL SURVEYED PLOTS FOR SALE 📍Site located at KISARAWE II (kibada ) KIGAMBONI DSM📌Distanc...

Kiwanja kinauzwa Kisarawe Ii, Dar Es Salaam

Sh. 17,000,000

RESIDENTIAL SURVEYED PLOT FOR SALE 📍Site located at KISARAWE II (kibada ) KIGAMBONI DSM📌Distance...

Kiwanja kinauzwa Kisarawe Ii, Dar Es Salaam

Sh. 19,500,000