Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kitunda, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA 60 MILIONI KITUNDA
Features...
Vyumba viwili
master Moja
Sebule
Dining
Kitchen
Public toilet
Eneo kubwa sqm 500
Ipo Kitunda Machimbo Ukonga Dar es Salaam
For more details call 0713066000 0753066000
Viewing charge 20k