Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kunduchi Mji Mpya, Dar Es Salaam (350 sqm)


Aina
Nyumba
Vyumba
2
Bafu
2
Ukubwa
350 SQM
Maelezo
Nyumba Inauzwa Kunduchi Mji Mpya,
Kituo Mtongani,scansca au tegeta darajani kituo kipya,
nyumaba ina rooms 2 zote Zina Choo ndani,
eneo Ukubwa Sqm 350
Bei 88 Million
Documents Mauziano ya serikali ya mtaa
Call 0746 433 854



















