Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mabwepande, Dar Es Salaam


Nyumba mbili nzuri sana zinauzwa:
Nyumba nizakumalizia finishing na zipo mtaa mzuri sana
Kubwa inaroom 3 masta 2
Na ndogo Ina room 2 moja self
Dirning sitting jiko stoo public toilet na maji dawasco
Eneo-sqm 800
Umiliki- Hati miliki
Bei-ml 120 maongezi
Location- mabwepande
Umbali-km 3.5 kutoka bagamoyo road bunju B
Karibuni #068491594 #0716974073