Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Madale, Dar Es Salaam


Eneo zuri sana linauzwa:
Wale wawekeza wa apartment lodge magodaun nk.hapa ndio mahala pake
Lipo ndani ya fens na
ndani Kuna nyumba ya kisasa ya vyumba viwili kimoja masta
Dirning sitting jiko stoo public toilet na maji dawasco
Eneo- sqm 3350
Umiliki- Hati miliki
Bei-ml 350 maongez
Location- madale
Umbali-mita 200 kutoka main road
Karibuni
KWA MATANGAZO YAKIBIASHARA+whatsup+255715777904
CONT+255788145810
Karibuni sana dalalimichaelkanyerere_mbz_kmr
maikokanyerere904@gmail.com