Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Matumbulu, Dodoma


Matumbulu, Dodoma CBD, Dodoma
17 hours ago
Sh. 28,000,000
ENEO LINAUZWA MATUMBULU DODOMA.
👉27km kutoka city center.
👉 Eneo lina ukubwa wa ekari mbili.
👉Kuna nyumba ya vyumba viwili, sebule na jiko
👉Kuna mabanda makubwa ya mbuzi na kuku.
👉Kuna Huduma za maji na umeme
👉Kuna miti ya matunda kama miembe, migomba na mizabibu.
👉Bei ya ofa ni milioni 28 tu
👉Eneo lipo tayari kwa makazi, kilimo na ufugaji.
0672312302