Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







#PAGALE LINAUZWA MBEZI MWISHO NJIA YA MPIGI MAGOHE MACHIMBO
KIWANJA KINA UKUBWA WA SQMT 336 (MITA 21 KW 16)
PAGALE LINA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA NA JIKO NZURI
NA CHUMBA MASTER NDO ICHO KILICHOPANDISHWA MPKA KWENYE LINTA
BEI NI MILIONI 12 TU #MAONGEZI YAPO
UMILIKI: DOCUMENT ZA MAUZIANO YA SERIKALI ZA MTAA
#0710614924
#0688653940