Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







ISHI KWA MALENGO NDUGU MTEJA WANGU
HII USIIKOSE NDUGU
===
BEI NI KITONGA
250,000/=X3
IPO MBEZI. STENDI YA MKOA MAGUFULI
===
UMBALI KUTOKA STENDI NI DK. 15 KUTEMBEA KWA MGUU
BODA 1000/
====
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI VYOTE NI MASTER.
SEBULE KUBWA SANA
NA JIKO KUBWA LENYE NAFASI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
IPO NDANI YA FENSI PAKING IPO
MADIRISHA YA SHATA
====
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI. 250,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
====
Cont
0683234124
0718367179