Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA MBEZI MWISHO NJIA YA MAKABE
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
BEI MIL 62 MAONGEZI KIDOGO YAPO
huduma zote zipo hapo fence na parking uhakika
Umbali KM 2 kutoka mbezi mwisho
Sales agreement kutoka serikal za mitaa
Kupelekwa kuona nyumba elfu 25
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI