Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
๐ฏ๏ธMBEZI MWISHO njia Ya MAKABE
๐ 500,000/= *6
_________
___
โข Vyumba 2 vya kulala Vikubwa (kimojawapo Master kubwa)
โข Sebule Kubwa
โข Jiko zuri litafungwa Makabati
โข Store
โข Public toilet ndani
* Inajitegemea UMEME na Maji
* Parking
* Ndani ya Fensi Zipo 4 tu na moja ndio Imebakia
#Upande wa Km 1 kutoka Morogoro Road, usafir upo wa bodaboda au daladala
______
๐ *MUHIMU SANA*
#Kupelekwa kuona nyumba Tsh 15,000
#Malipo ya Dalali ni Tsh 500,000/=
______
0753-172-516