Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mtumba, Dodoma
NYUMBA /APPARTMENT NNE ZINAUZWA MTUMBA /MJI WA KISERIKALI JIJINI DODOMA
Mahali; MTUMBA
Eneo ukubwa; 1,164 sq.m
Sifa; Zina vyumba viwili ZOTE
Master bedroom
Sebule, Jiko
Public toilet
Maji/Umeme upo
Bei; 175,000,000/= ( milioni mia moja na sabini na tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0672312302
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"