Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Tabata, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa Tabata Bonyokwa kwa bei ya milioni 48. Ina vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko, na choo. Gharama za kuja kuona ni shilingi 50,000. Ina nyaraka za mauziano kutoka serikali ya mtaa.
HTabataBonyokwa #RealEstateTanzania #NyumbaZaKisasa #PropertyForSale