Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Ukonga, Dar Es Salaam
Nyumba (apartiment 5)
Zinauzwa Ukonga mosh bar (kwa mkolemba) Mkoa Dar Wilaya Ilala
BEI MILION 115 BEI INAPUNGUA
Kila apartiment (nyumba) ina VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTA
JIKO NA SEBULE
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
JIPSAM TAILZ
KISIMA CHA MAJI
FULL PERVING
0746 433 854