Nyumba/Apartment (Furnished) ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa
Fully Furnished(Ina Kila Kitu Ndani)
Mahali : Mbezi Beach(Almas Street), Dar-Es-Salaam, Tanzania ๐น๐ฟ
Ina :
๐ข Vyumba Vitatu Vya Kulala(Vyote Masta), Sebule , Dining , Jiko , Choo Cha Public
๐ข Inajitegemea Kwenye Umeme
Ina Ac ,Heater
Nyumba ni #mpya
Kodi : 1,750,000 Tshs Kwa Mwezi
Kwa Mawasiliano Zaidi:-
Dm: dalali_mbezi_beach_godfrey1
062558