Nyumba/Apartment (Furnished) ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam







10/7/2025.
Nyumba inapangishwa apartment full furnished
Location mbweni ubungo
Kodi MIL 1 kwa mwezi
Vyumba 2 kimoja master sitting room dinning room kitchen cabinet public toilets Inajitegemea maji na umeme Piga simu O745010009 au 0742707023