Nyumba/Apartment inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINAPANGISHWA KIBAMBA MLOGANZILA HOSPITAL
Chumba master bedroom na jiko
Kodi 155,000 Kwa mwezi × 3
Chumba sebule Choo jiko
Kodi 200,000 Kwa mwezi × 3
Umbali Dakika 10 Kwa mguu toka MLOGANZILA HOSPITAL
Inajitegemea umeme na maji
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167