Nyumba/Apartment inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







AMKA NAYO ASUBUI IPO WAZI WAHI
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #130K
===
Chumba cha kulala sebule jiko na public toilet
===
Kodi 130,000 Kwa mwezi Γ 3
===
Umbali KM 1.2 Lami to Lami Bajaji zipo
===
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Ndani ya fence parking IPO
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
#0785889413π₯π₯π₯π₯



















