Nyumba/Apartment inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINAPANGISHWA MAHALI ZILIPO NI DARESALAAM TZ 🇹🇿 ENEO KIBAMBA MLOGANZILA KUTOKA STEND YA MLOGANZILA NI UMBALI WA KUTEMBEA KWA MGUU DK 10
ZENYE
MASTER BEDROOM KUBWA NA JIKO LA KISASA LENYE MAKABATI YA CHINI NA JUU
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI 155,000/=
KODI ILIPWE MIEZI MIATATU 3
HIYO NI GROUP A
GROUP B
MASTER BEDROOM KUBWA SANA SEBULE KUBWA SANA JIKO LA KISASA LENYE MAKABATI YA CHINI NA JUU
LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA IPO NDANI YA FENSI GET PAVING BLOCK ZINAWEKWA
HIZI NI MPYA KABISA
MTEJA AMBAE HANA HARAKA
ZITAKUWA TAYARI KUANZIA MWEZI WA 12 KUANZIA TAREHE 15 RUKSA
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI 200K
KODI ILIPWE MIEZI MIATATU 3
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA DALALI PINDI ULIPIAPO PANGO YA NYUMBA
0679447338
0753454167