Nyumba/Apartment inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA GOGONI #160k
====
Chumba cha kulala
Sebule kubwa.
Choo ndani
Jiko
Inajitegemea umeme maji yanaflow chooni Dawasco
====
Bei: 160,000 Kwa mwezi × 5
===
Umbali dakika 8-10 Kwa mguu toka kituoni barabara NI lami Hadi mlangoni
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===