Nyumba/Apartment inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #220K
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani public
Jiko zuri
Kodi 220,000 kwa mwezi ร 6
Umbali KM 1.3 Usafiri bodaboda 1000 bajaji 700 Barabara ni Lami
Nyumba ya chini ndo ipo wazi Inajitegemea umeme na maji
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
0679447338
0753454167



















