Nyumba/Apartment inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #150𝖪
Chumba cha kulala ( master bedroom)
Sebule
Jiko
Kodi 150,000 Kwa mwezi × 3
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni e
Umbali KM 1.5 bodaboda 1000
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167