Nyumba/Apartment inapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam


APARTMENT FOR RENT 
Loc:Kijitonyama 
Price:600,000 per month 
Term:six month 
Note:(zingatia)
30,000 pesa ya service charge inatolewa Mara Moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja 
Classification:
Chumba master, sebule jiko nyumba nzuri full tiles gypsum board madirisha ya kioo ndani ya fensi parking available umeme unajitegemea 
Fanya kazi na dalali smart,kazi zimenyoka 
For more info:
Call:0718123756
Call:0688037829



















