Nyumba/Apartment inapangishwa Kiluvya, Pwani







BEI:150,000 Kwa mwezi × 4
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KILUVYA KWA KOMBA
Chumba cha kulala kikubwa
Sebule kubwa Sana
Choo ndani
Jiko kubwa
Bei:150,000 Kwa mwezi × 4
Inajitegemea umeme na maji, inahadi tank lake la reserve hakuna uswahili Hapa
Umbali dakika 10 -12 Kwa mguu toka kituoni
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
NB: BACHELOR WA KIUME HATAKIWI HAPA
SIMU 0659336751
WSP 0786085637



















