Nyumba/Apartment inapangishwa Kiluvya, Pwani
APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA KILUVYA MPAKANI 150K
Chumba cha kulala sebule Choo ndani
Kodi 150,000 Kwa mwezi × 6
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni
Ndani ya fence parking IPO
Umbali dakika 7 Kwa miguu toka Morogoro Road
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167