Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







170,000 x6. Wahisasa. IMELIPIWA
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE NZURI
#JIKO ZURI OPEN KITCHEN
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 170000X 6
LAKI MOJA NA SABINI KODI MIEZI 6
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7-8 TUU KWA MIGUU
GARAMA YA KUONESHWA NYUMBA HII NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
ITAKUWA WAZI MWISHO WA MWENZI HUU
๐ค 0679 956 863
0759151524
0781 418 437