Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam






APARTMENTS NZURI SANA INAPANGISHWA UMEME WAKUSHARE KILA MTU NA SUBMETER YAKE NA MAJI YANAFLOO NDANI
SIFA ZAKE:
CHUMBA MASTER
SEBULEE
MPANGAJI ANATOKA MWISHO WA MWEZI HUU
KUONA NA KULIPIA RUKSA
LOCATION:KIMARA STOP-OVER
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD DK 15 KWA MIGUU
BEI:LAKI 150K X MIEZI 6
SERVICE CHARGE TSH 15,000
#0625606710