Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI INAPANGISHWA KODI TSH 200,000X3
KIMARA SUKA GOLANI
CHUMBA NA SEBULE
JIKO KUBWA
NA CHOO CHA KISASA NDANI YA FENSI
APARTMENT INA FULL AIR CONDITION
UMEME NA.MAJI.LUKU YAKO
KUNA RESERVE WATER TANK LTR 1000 YAKO NA MAJI YANAFLOW NDANI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KM 3
KUONYESHWA NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258