Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INAPANGISHWA 
PIGA SIMU 
LOCATION: KIMARA STOP OVER 
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI DAKIKA 10-15 KWA MGUU 
KODI 250,000X4
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO KUBWA SANA FULL MAKABATI 
IPO NDANI YA FENSI BADO KUWEKWA GET TU
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO MAJI MITER YAKO PIA YANA FLOW NDANI 
BILA KUSAHAU HELA YA TAHADHALI YA MWEZI MMOJA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000 
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA
========
0713661530_0783661530




















