Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA UKIELEKEA MBEZI
KILOMITA MOJA TU U
KITOKA MWENDO KASI
BEI YA PANGO
320,000X6
LAKI TATU ISHILINI
KWA MWEZI MARA SITA NA ELA YA DIPOZITI MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
CHUMBA KIKUBWA NA MAKABATI SEBULE KUBWA SANA CHOO NA ITA YA MAJI MOTO
JIKO ZURI SANA FULL MAKABATI
INAJITEGEMEA MAJI NA UMEME PAKI IPO KUBWA BARABARA RAFIKI KWA AINA YOYOTE YA GARI
TILES JIPSAM SAFI
KUONA NYUMBA 15000
UKILIPIA NYUMBA DALALI UTAMLIPA KODI YAMWEZI MMOJA
0713320608
0686334182