Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(180,000X6)KIMARA SUKA 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI BODABODA ELF MOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 180000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA KIKUBWA
# SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI CHA CHA NDANI
#JIKO
#LUKU YAKO MAJI INAJITEGEMEA
BEI 180000/= X 6 lAKI MOJA NA THEMANINI KODI MIEZI 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KILOMETERS 1 BODA ELFU MOJA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
NEMESHUSHA BEI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453