Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA
CHUMBA MASTER SEBURE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
NIMEISHUSHA BEI TOKEA 130K, SASA NJOO LIPIA 120K
đź’Ą KODI YAKE 130K X4
SIFA ZAKE NI
⚡ *CHUMBA MASTER
⚡ *SEBURE SAFI KUBWA
⚡ *TILES
⚡ *GIPSAM
⚡ *ALMINIUM
⚡ *MAJI DAWASA METER YAKE
⚡ *MAJI YANAFLOW NDANI
⚡ *UMEME WANASHEA W2.
🏡 APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI*
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM2
BAJAJI TSH700
BODA TSH1000
SIMU 0659336751 WSP 0786085637