Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
MPYAA MPYAA MPYAA MPYA
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 210,000/= X 6
🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
⚡️#LUKU MITA YA INAJITEGEMEA
🤝#MAJI DAWASA NI BURE ULIPII CHOCHOTE
🤝#USAFI WA NJEE AUFANYI
🤝#FREE WIFI
NB;NYUMBA IPO NDANI YA FENCE ISIYO LAZA GARI
💰BEI NI 210,000/= X 6
🛣NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE
.. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TUU KWA MIGUU DK 15
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Nb:NYUMBA ITAKUWA TEYARI TAREHE 15/02/2025
KULIPIA RUKSA