Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
PIGA SIMU
LOCATION: KIMARA STOP OVER
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD KM 1
BODA 1000
KODI 200,000x6
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LAKE LIPO PEMBENI NA TOILET PUBLIC YA NJE
NDUGU MTEJA NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING SAFI NA BARABARA RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO MAJI YAKO PIA YANA FLOW NDANI
ITAKUWA WAZI TAREHE 18-11-2025 KUONA NA KULIPIA LUKSA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
###0655256419
###0741547273



















