Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







📣 Apartment Nzurii Inapangishwa KIMARA MWISHO
📍Kodi ni 250,000/= x6
___
__
#Paving Blocks Zinawekwa UHAKIKA
• Jiko kubwa
• Sebule Kubwa
• Chumba Master
• Choo Cha Wageni
* Inajitegeme UMEME
* Maji yanflow ndani
* Ndani ya Fensi
* Parking kubwa
* Paving Blocks zinawekwa uhakika
* Mazingira mazuri na tulivu
#Umbali wa dakika 15 kwa miguu
#Inakuwa wazi tarehe 10/04/2025, kuona na kulipia ruksa
_________
#Malipo ya Dalali Nasoni ni Tsh 250,000/=
#Kupelekwa kuona Tsh 15,000/=
________
O677370515