Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







( 160,000  x  4 )  KIMARA  MWISHO APARTMENT YA KISASA  INAPANGISHWA ZIPO (  2 ) TU KWENYE COMPAUND MOJA
UMBALI  WA KILOMETA (  2,,5 )TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJ  1000/=
UKISHUKA UNATEMBEA KIDOGO DK 4 TU
CHUMBA  SEBULE  NA  PUBLIC TOILET YA NDANI NA  JIKO LENYE MAKABATI
TILES  GPYSUM  SLAIDING WINDOW ( HEAT  YA MAJI MOTO NA BARIDI )
UMEME MITA YAKO
MAJI  DAWASA YANAFLOW NDANI
( FENCE INAJENGWA )
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOxA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
What saapp number 0689-547258



















