Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT NZUR MNOO
=================
#INAPANGISHWA IPO #KIMARA_KOROGWE_KILUNGULE
=================
#KODI NI 230,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MINNE (4)
================
#YA CHIN NDO IPO WAZI WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU
=================
SIFA ZAKE
########
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI KUBWA
==================
#INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN
===================
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI MNOO PARKING IPO
===================
UMBALI KM 1,3 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE USAFIRI IPO WA UAKIKA BAJAJI 500 TU UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
====================
#SERVICHAJ ELFU 20 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
==================
CONTACT
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747