Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZUR INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA MWISHO
KODI 150,000X6
AU 180,000X4
UMBALI KM 2.5
BAJAJI 1000
CHUMBA MASTER SEBULE NA BARAZA KUBWA LA KUPIKIA
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA TILILIKA NDANI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0625606710🏠wahiii